Isaiah 17:8

8 aHawataziangalia tena madhabahu,
kazi za mikono yao,
nao hawataheshimu nguzo za Ashera,
Ashera hapa maana yake ni mungu mke aliyekuwa akiabudiwa pamoja na Baali.

na madhabahu za kufukizia uvumba zilizofanywa kwa mikono yao.
Copyright information for SwhNEN